Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji (Kiswahili)

Muhtasari: Kitabu hiki kimetolewa kwanza kwa ajili ya wataalamu wa siasa, wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu kwa uchambuzi zaidi na maoni. Leo, imani potofu kwamba mauaji ni jambo la kawaida kwa mwanadamu inakubaliwa ulimwenguni kote licha ya umri na kiwango cha elimu cha mtu.Tunategemea kwamba wasomaji watajiunga na chama cha watu wanaohoji imani hiyo potofu na kuchangia kimawazo na pia kwa matendo kujenga misingi ya ulimwengu mpya usiyo na mauaji.

Download «Ujenzi wa Jamii Isiyokuwa na Mauaji» [183.04 KB]

Order hardcopies from Lulu Marketplace.


Genre: Translations